Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 16, 2014

 Beyoncé and Jay Z
Mr. and Mrs. Carter watangaza kufanya ziara ya muziki pamoja kipindi cha majira ya joto.Mtandao wa Page six umesema,The superstar couple wamesema mara hii ziara yao ya pamoja itakuwa katika viwanja mbalimbali nchini Marekani katika miji 20 ambapo kwa mji wa New York show itakuwa July 4.
Ziara hii inakuja baada ya Beyoncé  kumaliza ziara yake ya sehemu zaid ya 132 iliyoitwa“Mrs. Carter Show World Tour,” na Jay Z akiwa amemaliza ziara yake ya miji 52 ya ziara aliyoiita “Magna Carter World Tour” mwezi January.
Mr. Carter & mrs Carte waliibuka kwa kushtukiza katika tamasha la Coachella ambapo Beyoncé alipanda jukwaani na kudance kumsapport dadake,Solange, wakati Jay alipanda kumpa tafu Nas.

0 comments:

Post a Comment