Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 24, 2014

 0423_chris_brown_tmz
Mtandao wa TMZ umeandika,mwanamuziki wa rnb Chris Brown ataendelea kusota jela mpaka mwezi June.Brown ambaye alijukuta akiingia jela mwezi uliopita baada ya vitendo vya viovu katika kituo cha rehab na ataendelea kuwepo jela akisubiria kesi ya tukio la DC la yeye na mlinzi wake kumshambulia mtu.

Taarifa zaidi zianasema kesi ilikuwa isomwe leo lakini imeahitrishwa mpaka mwezi June.
Brown alijaribu kumuomba aachiwe huru kwa dhamana hakimu anayeendesha kesi ya kumpiga Rihanna lakini maombi yake yaligonga mwamba,hivyo hivi karibuni Brown atapelekwa huko L.A.ambako atakuwa jela mpaka mwezi June ambapo ataletwa tena D.C. akiwa ndani ya dege la Con air ambapo tunataarifiwa ina mazingira ya ovyo kuliko economy.
Kama Brown atakutwa na makosa katika kesi ya kumjeruhi mtu huyo huko D.C,hakimu anayeendesha kesi dhidi ya Rihanna anaweza kumhukumu Brown miaka 4 gerezani.

0 comments:

Post a Comment