Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 21, 2014

Funkmaster Flex Says 2 Chainz Had Worst Freestyle Ever On His Show
Heavy weight dj,Funkmaster Flex Says amesema hajavu tiwa na freestyle ya rappa 2 Chainz alipokuwa akijibu swali alipokuwa mgeni katika televisheni ya ESPN2 kipengele cha Highly Questionable.Wakatoi wa mahojiano mtangazaji alimuuliza Funkmaster Flex kwamba katika kipindi chako nani amewahi kuboronga upande wa freestyle na ndipo alipojibu:The freestyle that wasn’t very good on my show, it had to be 2 Chainz,” akimaanisha freestyle mbovu zaidi ilifanywa na rappa 2 Chain.“Honestly, I think I caught him off guard. I think he didn’t expect me to ask him to do it," he continued. "Because I’ve heard him on shows freestyling before so I knew he could handle it. But I think that day, he couldn’t handle it.”  2 Chainz alifanya mahojianao na Funkmaster Flex's show mwezi June,2012. 


0 comments:

Post a Comment