Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, April 19, 2014

No Breaking Up: Jude Okoye & P-Square Still Together Despite Rumors
No Breaking Up: Jude Okoye & P-Square Still Together Despite Rumors ndivo vilivyoandikwa vichwa vya habari mbalimbali vya nchini Nigeria kufuatia uvumi na minong'ono iliyosambaa kwamba Peter na Paul wamemuengua kaka yao mkubwa,Jude Okoye katika kundi la P-Square.Story hizi zilisambaa baada ya kaka yao huyo Jude Okoye kunadika” After over 10yrs of hard work, it’s over. Am done,” kupitia akaunti yake ya Twitter. Vyombo vya habari mbalimbali vya nchini Nigeria viliandika habari hii na kuhusisha kisa hiki na visingizi vingi vikiwemo vya kusema mmoja kati ya wake zao amesababisha kaka hao kutengana.Pamoja na hayo yote kuandikwa P-Square wamesema bado wapo pamoja na habari hizo si za kweli.

0 comments:

Post a Comment