Mwanamuziki Ariana Grande afunguka ya moyoni yaliyomsibu kuhusu aliyekuwa mpenzi wake.
Akiongea na waandishi wa habari wajarida la Altitude kuhusu wimbo wake "Break your Heart Right Back" ambao amechukua vionjo kutoka wimbo wa Diana Ross "I'm Coming Out" ambao utakuwa katika albamu yake ya My Everything, Ariana pia aliwaambia waandishi wa Attitude magazine kwamba ana uhakika ex-boyfriend wake alichepuka na mwanaume mwenzie (shoga).
Ariana alisema wimbo huo "Break your Heart Right Back" unahusu hadithi ya mwanaume aliyemtenda mwanamke wake wa kike kwa kutoka na mwanaume mwenzake (shoga) na moja kati ya nyimbo anazozipenda zaidi kutoka katia albamu yake hiyo mpya."
Thursday, August 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment