Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 30, 2015


 Marapa Drake na Meek Mill wanaendelea kupamba vichwa vya habari baada ya marapa hao kuingia katika bifu lililoanzisha na rapa Meek Mill baada ya kumchana Drake kwama huwa anaandikiwa nyimbo zake.Drake alijibu mapigo ya kashafa hizo kwa kutoa wimbo aliouita ''Charged Up'' kama dongo kwa Meek Mill ambapo rappa Meek Mill aliubeza wimbo huo kwa kusema ni ''Soft like baby lotion'' akimaanina ni laini kama losheni ya watoto.Ikikiwa ni siku nne tu zimepita tangui Drake kachia diss track hiyo,rappa huyo ameachia dongo lingine kwa freestyl aliloliita  “Back to Back”.
Bifu ya marapa hawa inafuatiliwa na mashabiki wengi na timu zao zimekuwa akiwapa matumaini kama ilivyo timu za hapa bongo.Beef inalipa katika hiphop.


0 comments:

Post a Comment