Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 31, 2015

Image result for meek mill & drake 

Leo zimetimia siku 10 tangu ma rapa Drake na Meek Mill kukwaruzana na kurushiana madongo baada ya rapa Meek Mill kumchana Drake katika mitandao ya kijamii na jukwaani kwamaba anaandikiwa nyimbo zake.
Drake alijibu mapigo siku mbili baadaye kwa kuachia wimbo wa kumdiss Meek Mill alioupa jina ''Charged Up'' na siku mbili baadaye akaachia diss track nyingine aliyoipa jina ''Back To Back'' nyimbo ambazo rappa Meek Mill hakujibu mapigo bali alizibeza diss track hizo kwa kuziita ''soft like baby lotion.
Ikiwa ni siku 9 zimepita tangu kuanza beef hiyo na rapa Meek Mill kuonekana kama amsehindwa kujibu mapigo,jana ( July 30  ) Meek Mill alijibu mapigo na kuvunja ukimya  kwa kuachia diss track aliyomshirikisha Quentin Miller ambaye anatajwa kumwandikia Drake nyimbo,track aliyoipa jina "Wanna Know" katika kipindi cha dj mkongwe marekani Funkmaster Flex ndani ya Hot 97. 

0 comments:

Post a Comment