Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, August 3, 2015

 Image result for chris brown & rihanna
Mahusiano yao unaweza kusema yalivunjika miaka kadhaa sasa laikini muimbaji mahiri Chris Brown, 26,bado anadai nafasi ya Rihanna, 27 bado ipo katika moyo wake.Akihojiwa na mtangazi Tim Westwood,Breezy amesema si tu kwamba yeye na Rihanna wapo poa na wanajuliana hali bali bado kila mmoja ana mapenzi ya kweli kwa mwenzake,bado tunapendana.Chris Browm katika mahojiano hayo aliongeza kusema pengine kinachowaunganisha ni history kwani wamejuana tangu wakiwa wadogo umri wa miaka 14/15 na wamekuwa wakiungana mkono katika kazi zao hata hivi karibuni Rihanna alihudhuria sehemu ya mazoezi ya Chris Brown alipokuwa katika maandalizi ya kutumbuiza katika sherehe za tuzo za BET 2015.
Image result for chris brown & rihanna Image result for chris brown & rihanna 

0 comments:

Post a Comment