Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, August 3, 2015

Image result for tyga

Rapa Tyga alilipwa kiasi cha dola 25,000 na alisaini mkataba  na promota mmoja kwamba moja kati ya masharti ni kutotumbuiza kwa wiki moja kabla karibu na eneo litapofanyika tamasha aliloandaa.
Promota huyo anadai rapa Tyga alipanda jukwaani usiku siku moja kabla katika club moja iliyopo karibu na club aliyotakiwa kutumbiza kitu kilichopelekea watu kutokuja kwa wingi katika tamasha aliloandaa ambalo lilifanyika siku inafuata baada ya Tyga kuonekana jukwaani katika Club ya jirani.Promota huyo aliyemlipa Tyga do 25,000 amemtaka rappa huyo kumlipa fidia ya dol 100,000 kutokana na uharibifu aliousababisha.



0 comments:

Post a Comment