Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, September 25, 2015

 
Ikiwa umepita kama muongo mmoja tangu Rihanna ajiingize katika muziki wa pop,star huyo amepaa na kwenda mbali zaidi tofauti hapo mwanzo alipokuwa kaishundanishwa na wasanii kama wakia Teairra Mari hivi sasa ni an international superstar whoseambaye anapambanishwa na majina makubwa kwenye fani ya muziki kama wakia Beyoncé.
Rihanna ni mzaliwa wa Saint Michael, Barbados na kipaji chake kiligunduliwa na kuendelezwa na producer  Evan Rogersmwaka 2003 ambaye alikutana naye kupitia rafiki yake na akamsikiliza wakiwa katika chumba cha hoteli na kumkubali na kumwambia arekodi demo na alipofanya hivyo producer huyo bada ya kuridhika nayo moja kwa moja aliipeleka katika studio mbalimbali kubwa lakini Def Jam waliikubali maramoja.Uongozi wa srtudio hizo walipoisikia walimualika Rih-Rih na wakampa dili la kumsaini .Akiwa Def Jam alifanyiwa pia usahili na Jay Z na kumkubali na kusaini katika lebo yake ya Roc Nation.
Albamu ya kwanza ya Rihanna, Music of the Sun, ilitoka mwezi Aug.tarehe 30, 2005 singo ya kwanza ikiwa “Pon de Replay,” ambayo ilipaa na kushika No. 2 okatika chati za biliboard Hot 100.Ktika albamu hiyo kulikuwa na ngoma kali kama  “If It’s Lovin’ That You Want,” .
Girl Like Me ilifuata mwaka mmoja baadaye na kumuwezesha Rihanna kuingiza wimbo wa kwanza ktk No. 1 hit katika chati za Hot 100: 
Mmambo mengi yalibadilika mwaka 2007 ambapo Rihanna alibadilisha hadi mtindo wa nywele na kuzikata,mitindo ya mavazi na baadaye kufanya kazi na mastaa kama Dream.Badaye alidondosha mzigo  “Umbrella,ngoa yakwanza katika albamu la Good Girl Gone Bad albamu ambayo aliandaliwa aiimbeMary J. Blige lakini mwenyewe alipasisha Rihanna.Albamu hiyo ilikuwa na ngoma kama “Don’t Stop the Music” ambayo ilifikia mauzo ya multi-platinum. Rih alionekana mkubwa zaidi baada ya kuandaa ziara ya muziki yz kuzunguka dunia huku akidondosha Good Girl Gone Bad: Reloaded ambayo ilikuwa na ngom,a kali kama “Disturbia” na“Take a Bow.
Rihanna akatoa 2009’s Rated R, 2010’s Loud, 2011’s Talk That Talk, na 2012’s Unapologeticna nyingiznezo zikiwa na hits kama  “Rude Boy,” “Only Girl (In the World),” “S&M,” “We Found Love,” “Diamonds.
Many like to point out that Unapologetic is Rihanna’s first No. 1 album on the Billboard 200. Yeah, but in between all of that, she racked up so many No. 1 singles before the age of 30 that she likely has put fear in the heart of Mariah Carey over the likelihood of her besting her record for most No. 1 singles by a female artist. In fact, Rihanna is now the best-selling digital artist of all time

0 comments:

Post a Comment