Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 23, 2015

 
Ikiwa ni usiku mmoja tangu kuonyeshwa kwa project yake ya Documentary 2 huko New York City ambayo inamuonyesha safari yake ya muziki na utambulisho wa albamu yake kubwa katika maisha yake.
Rappa The Game alifanya mahojiano wamtangazi wa kipindi cha Ebro in the Morning,Rosenberg  na Laura Styles na kuongelea mambo mengi kama albau yake hiyo ya Documentary 2 na kuhusishwa na aliyekuwa mpezi wa Chriss Brown,Karrueche Tran.
The Game alisema alichokifanya ni ku like tu pics za mrembo huyo ambaye kwasasa ndiye pekee aliye fuata katika mtandao kwani hakuwahi kumfuata mtu mwingine.

He's currently following no one on his Instagram page.

0 comments:

Post a Comment