Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, September 10, 2015

 6 Reasons Why Leonardo DiCaprio Has Never Won An Oscar
Leonardo DiCaprio ni moja kati ya waigizaji maaruf wa filamu na wanaolipwa zaidi lakini maswali mengi toka kwa mashabiki na wadau wa filamu kwamba kwanini staa huyo hajawahi kushinda tuzo ya heshima ya Oscar.
Leonardo DiCaprio amecheza kinara katika filamu zilizouza zaidi duniani kama:Aviator,The Depared,The Wolf Of Wall Street,Blood Diamond,Body Of Lies,The Man in the Iron Mask,Garden of Eden,Gangs of NY,Romeo  and Juliet na Titanic lakini hajapewa tuzo ya heshima ya Oscar hata moja.
Hizi ni sababu zinazosemekana.
He’s been unlucky ( hana bahati  )
He’s TOO consistent (thabiti:mweny misimamo sana ama m bishi  )
He doesn’t do “gimmicks” ( siyo mjanja mjanja )
His best work doesn’t get noticed ( hana nyota ya kuonekana ubora wa kazi zake  )
He’s overshadowed by co-stars ( kivuli kikubwa kwa waigizaji wenzake )

0 comments:

Post a Comment