Chanzo kimoja ch ahabri kinaripoti R&B star Chris Brown haishi vema na majirani,siyo tu wa nyumbani kwake anapoishi bali hata ugenini,hayo yalijidhihirisha hivhi karibuni Chris Brown alikodisha nyumba ya kifahari kwa dola 2,450 kwa siku ambapo alikodisha wiki nzima,huko Aloha state maeneo ya Honolulu na akafanya bnge la house party ambapo tunataarifiwa aliwakera sana majirani kwa kelele za muziki mkubwa,majirani wakampigia mmilik wa jumba hilo kumjulisha lakini hakuchukua hatua yeyote.Ripoti zaidi zinadai baada ya Chris Brown kuondoka huko Hawaii alipofika tu kwake L.A mida ya saa 9 usiku akaendeleza tena house party na kwakera majirani ambao walifikia hatua ya kutoa taarifa polisi.
Tuesday, September 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment