Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 30, 2014

 
The National Basketball Association wamemfungia maisha mmiliki wa Los Angeles Clippers bw Donald Sterling na kumpiga fina ya dolla za kimarekani millioni 2.5 kutokana na makosa aliyokutwa nayo bada ya kurekodiwaakitoa kauli za kibaguzi kwa waamerica wenye asili ya kiafrica.Kamishna wa NBA bwAdam Silver alitangaza uamuzi huo katika kikao na waandishi wa habari jana mapema (April 29).

Katika mkanda huo aliorekodiwa inasemekana Sterling alimtolea kauli kali na za kibaguzi binti anayeaminika kuwa ni mpezi wake na hata kufikia kusema '' usiwalete watu wesui wakati timu yake ya  Los Angeles Clippers ikicheza.
Kufuatia tukio hiloThe Los Angeles Clippers wamefikia uamuzi wa kubadilisha website ambayo itasomeka"We Are One" kama haitoshi Logo ya Los Angeles Clippersitakuwa katika maandishi meupe na mji mweusi.
Baada ya kutangazwa uamuzi huo baadhi ya watu maarufu walitweet:

I would say justice is somewhat served! silver good job

0 comments:

Post a Comment