Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 15, 2013


1114-chris-brown-moving-malibu









Chanzo kimoja toka kwa madalali waliopewa dili la kutafutia mjengo Chris Brown maeneo ya Malibu wanapoishi vigogo na vizito,kimeuambia mtandao wa TMZ kwamba rnb supestar huyo,Chris Brown amewapa kazi ya kumtafutia nyumba maeneo hayo amabapo bei zake huanzia dola million 3 mpaka dola  million 30 tofauti na hapo anapoishi sasa analipia dola millioni 1.5.
Mmoja kati ya majirani zake amesema inawezekana Chriss Brown ameamua kuchukua kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na jirani zake hao walioonekana kutofurahishwa na visa vya msanii huyo,jirani huyo ameongeza kusema hadhani kama Chriss brown atawezana na majirani wa huko anakotaka kuhamia kwani watu wa huko hawapendi vurugu haswa mida ya usiku na Chriss Brown ni mtu wa mapati na kukimbiza magarai.

0 comments:

Post a Comment