Young Money Star ,Drake amejikuta matatani baada ya rappa mmoja anayetambulika kwa jina la 4-TAY kudai mistari yake imetumiwa na rappa huyo aliposhirikishwa katika ngoa ya rapa YG's "Who Do You Love" .
Drake alitumia mistari kama ilivyo toka kwa rappa 4-Tay katika ngoma yake ya mwaka 1994 "Playaz Club " bila hata ya kumtaja ama kumuhusisha rappa huyo.4-Tay amefungua kesi ya madai ya kutaka alipwe kiasi cha dola 100,000 na rappa Drake hata hivyo taarifa toka kwa meneja wa 4-Tay ameuambia mtandao wa TMZ kwamba record label ya Drake wamekubali kulipa $100,000
.
Thursday, July 17, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment