Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 18, 2014

50 Cent Signs $78 Million Deal With Frigo RevolutionWear Underwear Brand
50 Cent ameongelea kuhusu kuingia ubia na watengenezaji wa nguo za ndani za kiume (kufuli) wa kiwanda cha FRigo RevolutionWear wakati akihojiwa katika kipindi cha televisheni cha "Late Night kinachoendeshwa na Seth Meyers."
Rappa huyo toka pande za Queens, New York,50 Cent amepata dili la kuingia ubia na kampuni hiyo ya kutengeneza nguo za ndani ambapo imeripotiwa atajiingizia kiasi cha kiasi cha dolla millioni 78.

50 Cent amevujisha habari hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram mwisho wa wiki iliyopita kwa kuandika:“I just did a deal for $78 million for underwear.
50 ameongeza kusema nguo hizo za ndani zitauzwa kwa dola 100.

0 comments:

Post a Comment