Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 24, 2014

 
Baada ya kufarakana na na aliyekuwa mpenzi wake,Karrueche,Chris Brown anaonekana kama anahitaji kurudiana na mpenzi wake wa zamani,Rihanna .Ripoti mpya zinasema,Chris Brown amekuwa akimtumia Rihanna jumbe za kimapenzi mara kwa mara akimtaka wasahau yaliyopita na warudiane kama wapenzi.

Mtu wa karibu na Rihanna aliwaambia waandishi wa Urban Islandz  kwamba,Chris Brown yupo mbioni kumshawishi Rihanna warudiane kimapenzi na maekuwa akitumia sms za kimapenzi mara kwa mara.
Rafiki huyo wa "Rihanna ameongeza kusema,Rihanna hajaonyesha dalili zozote za kumkubalia Chris sanasana anaonekana yupo bize kushghulikia kumalizia albamu yake ya 8th  "R8." na kama haitoshi shuguli za Puma ambapo anafanya kazi kama mkurugenzi wa ubunifu wa bidhaa hiyo.

Tarifa zaidi zinada Rihanna ni vigumu kurudiana na Chris Brow kwani hata baba wa Rihanna, Ronald Fenty, ameahi kumkanya mwanawe juu ya mahusiano na Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment