Rapa wa kike raia wa Australia Iggy Azalea amejikuta matatani baada ya kundi la watui wasiojulikana kumtishia maisha kupitia mitandao ya kijamii.Kundi hilo la watu wasiojulikana lilitoa kauili za vitisho dhidi ya Azalea siku ya ijumaa December 19 kupitia mtandao wa Twitter.
Kundi hilo kupitia akaunti isiyojulikana mmili wake ya @TheAnonMessage account,wametoa vitisho hivyo kwa Iggy Azalea wakimtaka amuombe radhi rapa mwenzake wa kike Azealia Banks kufuatia kauli yake ya wiki iliyopita kuwasemea mbovu waandamanaji wenye asili ya kiafrica kwamba wamemuharibia tamasha lake lililokuwa lifanyike huko University of Southern California .
Ujumbe mwingine uliowachukiza ni:Special msg for banks: There are many black artists succeeding in all genres. The reason you haven't is because of your piss poor attitude.
na Now! rant, Make it racial! make it political! Make it whatever but I guarantee it won't make you likable & THATS why ur crying on the radio.
Kundi hio la watu wasiojilikana limempatia rappa Iggy Azalea aombe radhi ndani ya masaa 48 lasivyo watamchukulia hatua kali.
0 comments:
Post a Comment