Aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj ameenda mbali sana kufuatia kili kinachosemekana kumwagwa na aliyekuwa mpenzi wake kwa takribani miaka 12.
Taarifa toka kwa watu wa karibu na aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj, Safaree Samuels wamesema jamaa huyo kitendo cha kuachwa kimemuathili kiafya na kiakili,jamaa anatumia muda wake mwingi kuvuta bangi hatujui kama hajatumia madawa ya kulevya mengine ila mara kwa mara amekuwa akiwaambia ni bora ajiue.
Safaree mara kwa mara anawaambiwa marafiki zake kwamba ana mpango wa kujiua na pindi wanapomuuliza kwanini asiongee na Nicki wayamalize,anasema kwasasa si rahisi kukutana na Nicki sababu anabanwa na rappa Meek Mill.
Safaree anasema anaamini penzi lao limevurugwa na rappa Meek Mill kwani kama sababu ni ugonvi wa kawaida mbona mara nyingi imetokea na wameyamaliza?
Friday, December 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment