The D-O-Double-G is coming back with Bush. Rappa huyo tok West Coast amesema albamu yake mpya inayokuja itaenda kwa jina la Bush.Snoop aliyasema hayo alipokuwa kayika mahojiano na waandishi wa habari hukoLas Vegas jumatano (Jan. 7).,
Snoop ameongeza kusema albamu yake ya Bush inakuja na itatoka katikati mwa mwezi March chini ya lebo ya Pharrell ''I am OTHER na Columbia Records na tayari ameshapanga kuachia singo ya kwanza toka katika albamu hiyo, single, “Peaches N Cream.”
Bush ni albamu inayofuata baada ya 7 Days of Funk ya 2013 ambay ilikuwa na collaboration na Dam-Funk.
Thursday, January 8, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment