Lil Wayne ametangazwa kwamba anaendelea vema baada ya kutangazwa jana kwamba alipatwa na kifafa mara mbili akiwa safarini katika ndege binafsi kilichopelkea kulazimishwa ndege hiyo kutua kwa dharula.
Msemaji upande wa Lil Wayne amesema rapa huyo anaendelea vizuri ila bado yupo chini ya uangalizi wa dakitari huku akiwashukuru wote waliokuwa wakimuombea.
Weezy's private jet was forced to make an emergency landing after
Wayne suffered the first seizure. The plane was en route to Van Nuys,
California from Milwaukee, Wisconsin. When the airliner was preparing to
takeoff a second time, he suffered a second seizure.
Taarifa zaidi zinasema Lil Waynealionesha dalili za kutokuwa sawa laikini alikataa matibabu.
Hii si mara ya kwanza kwa Lil Wayne kukumbwa na mikasa ya kuanguka kifafa hali kama hiyo ilimkuta mwaka 2012 na 2013 ambapo hiyo ya 2013 ilimtokea mara mbili ndani ya wiki moja ambapo taarifa zinadai ilitokana na unywaji uliopitiliza baada ya kuacha matumizi ya madawa ya kulevya.
Tuesday, June 14, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment