Mji wa New York ulipambwa na mawimbi ya sauti toka kwa wanamuziki wa Africa siku ya July 23, 2016katika tamasha la One Africa Music Fest.
Ni usiku utakaokumbukwa kwani burdani za miziki ya Afrobeat na Afropop zilifunika katika ukumbi maarufu wa Barclays Center huko Brooklyn New York.
Tamasha hilo lilipambwa na mastaa wa muziki toka Africa kama Banky W, Wizkid, Tiwa Savage,Banky W, Flavour, Stonebwoy, Wale, Davido, DiamondPlatnumz, Seun Kuti, Machel Montano, Jidenna, Don Jazzy,Timaya, Praiz, na Ayo Jay.
Lilikuwa ni tamasha la kipekee Lagos meets Accra, meets Tanzania meets New York ambapo Bongo iiliwakilishwa vema na Diamond Platnumz,
0 comments:
Post a Comment