Tarehe 28/8/1963 Dr. Martin
Luther King's alihutubia taifa la marekani kwa kutoa speech iliyobeba ujumbe"I have a dream".
alisema nna ndoto kwamba ipo siku moja mtu mweusi hatohukumiwa kwa rangi ya ngozi yake bali kwa ayatendayo,Raisi wa Marekani Obama akili asingekuwa raisi bila wanaharakati hao kupigania haki juu ya ubaguzi waringi,obama leo hatahutubia palepale katika viwanja alipohutubia Dr. Martin
Luther King sambamba na maraisi wa zamani wa amerika kama Jimmy kata na Bill Clinton .
Wednesday, August 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment