Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 31, 2013

 
Mtangazaji huyo wa kipindi cha The Talk cha Tv CBS na X Factor UK,Sharon Osbourn,amewaponda na kutamka kauli za kibaguzi juu ya Kanye West na Justin Bieber wakati akihojiwa katika interview na The Daily Beast. Sharon Osbourn alipoulizwa juu ya Kanye West akajibu'' Sina muda na Kanye West,mara nyingi amekuwa akinoboa,kwa mtazamo wangu huyu jamaa japo anakipaji ila mfanya biashara mkubwa tu,na ningemshauri labda afanye biashara ya magari atafika mbali zaidi.
Na alipoulizwa juu ya Justin Bieber alijibu'' najisikia vibaya sana kuhusu huyu kijana mdogo mwenye ndoto kubwa za mafanikio,ana kipaji,anamuonekano mzuri,anapendwa na wadada wazuri,ila anachopotea ni pale anapojifanya yeye ni bad boy,nadhani hatambui hata maana ya kuwa bad,na kikubwa kinachompoteza zaidi ni pale anapojifanaya kama yeye ni black wakati yeye ni white,kutwa yupo na wavuta bangi.


I think he doesn't realize he's white and not black, that's a huge problem - See more at: http://hiphopwired.com/2013/07/30/accidental-racist-sharon-osbourne-says-kanye-west-should-be-a-car-salesman-slanders-justin-bieber/#sthash.yDeuiu33.dpuf
I have no time for him. He bores me. I said it on the show, he's an average-looking man with an average talent, but he's a great salesman. He should sell cars because they would f-ckin' fly out the door. He's his No. 1 fan. - See more at: http://hiphopwired.com/2013/07/30/accidental-racist-sharon-osbourne-says-kanye-west-should-be-a-car-salesman-slanders-justin-bieber/#sthash.yDeuiu33.dpuf

0 comments:

Post a Comment