Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, December 1, 2014

    1. Binti wa Lil Wayne aling'ara kama baba yake alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa haswa ukiangalia amefikisha miaka 16 hivyo lkafanyika pati maalumu ya Sweet 16 birthday party  huko Atlanta siku ya jumamosi.
    2. Wageni waalikwa ndugu jamaa na marafiki wakiwamo mastaa kama T.I. na mkewe Tiny, Kandi Burruss, Fantasia,Jacob Latimore na Nick Minaj ambaye alitumbuiza walihudhuria sherehe hiyo.”
    3. Birthday girl Reginae Carter amezaliwa tarehe 29 nov 19989 (16), pia ni msainiwa wa Young Money,pia alitumbuiza kibao chake “Mind Goin’ Crazy.”
    4. Kabla pati haijaisha Reginae Carter alikabidhiwa na baba yake,Lil Wyne funguo za magari ya kifahari aina ya Ferrari GTO na red BMW X5 mbele ya mama yake Toya Wright ambaye alikuja na mumewe wa sasa Memphitz.


0 comments:

Post a Comment