Wentworth 41 ambaye alikuwa muigizazi nyota kwa alifahamika kwa jina la Michael Scofield katika tamthilia iliyopendwa na namba kubwa ya watu.Prison
Break, amejitangaza kuwa yeye ni shoga August 21 kupitia barua ya wazi aliyowatumia waandaaji wa Saint Petersburg Film Festival,katika barua hiyo alikataa mualiko aliopewa na kwamba hatohudhuria sherehe hizo zitazofanyika huko Urusi kwasababu nchi hiyo inapinga ushoga.Na hii ndiyo barua iliyoandikwa naMichael Scofield :
Thank you for your kind invitation. As someone who has enjoyed
visiting Russia in the past and can also claim a degree of Russian
ancestry, it would make me happy to say yes.
However, as a gay man, I must decline.
I am deeply troubled by the current attitude toward and treatment of
gay men and women by the Russian government. The situation is in no way
acceptable, and I cannot in good conscience participate in a celebratory
occasion hosted by a country where people like myself are being
systematically denied their basic right to live and love openly.
Perhaps, when and if circumstances improve, I'll be free to make a different choice.
Until then. Wentworth Miller
0 comments:
Post a Comment