Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, June 27, 2016

50 Cent Arrested For Cursing On Stage
Rappa 50 Cent amejikuta matatani na vyombo vya sheria huko West Indies islan baada ya ktumbuiza jukwaani kwa wimbo wenye lugha chafu.
Rappa 50 Cent alijikuta mikononi mwa polisi  katia tamasha la  2016 St. Kitts Music Festival (June 25) at the , baada ya kumaliza kutumbuiza katika onyesho na kushuka jukwaani na kutajiwa kosa lake kuwa ni kuimba toleo chafu la hit yake ya  2003, "P.I.M.P."
Gazeti la Jamaica Observer,limeripoti kuwa bodyguard wa 50 bw Bajar Walter pia alikamatwa na polisi kwa kuwatolea lugha chafu wakati wakimchukua bosi wake.
 Upande wa wanachama wa G-Unit umesema wakulaumiwa ni DJ kwa kukosa kuwa na clean version ya wimbo huo P.I.M.P
Polisi nchini humo wamesema 50 Cent  ataendelea kubaki huko Carribean mpaka apangiwe tarehe ya mahakama.

Taariifa zaidi zinasema kwa makosa kama hayo huko  Carribean humalizwa kwa kulipa faini.
2003,rapa DMX alikutwa na mkasa kama huo katika tamasha kama hilo la St. Kitts Music Festival na akalipishwa faini.

0 comments:

Post a Comment