Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 21, 2014

 Rihanna Ignoring Drake
Chanzo kimoja cha karibu na muimbaji Rihanna kimesema,muimbaji huyo anasema rappa Drake, mwenye umri wa miaka 27,asahau kuhusu mahusiano ya mapenzi na ikibidi wabaki tu kuwa marafiki.  Rihanna mwenye umri wa miaka 26,amesisitiza kusema Drake kung'ang'ania kutaka kuendeleza upenzi  ni kuukwepa ukweli kwamba it's over.Mtu huyo wa karibu wa Rihanna amesema,muimbaji huyo kwasasa hapokei simu wala kujibu jumbe za Drake.

0 comments:

Post a Comment