Posted by djnicotracktz
on 5/21/2014 03:42:00 AMNo comments
Christopher George Latore Wallace aka Notorious B.I.G. aka Biggie Smalls ni Rapa, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi.Notorious B.I.G. aka Biggie Smalls aliyezaliwa jiji New York tarehe 21 may mwaka 1972, (amejiita jina hilo baada ya jambazi la kwenye filamu ya mwaka wa 1975 ya Let's Do It Again) The Black Frank White" (inatokana ana uhusika wa mwuza madawa ya kulevya kutoka katika filamu ya mwaka wa 1990 King of New York ,anahesabiwa kama moja kati ya miamba katika rap na hiphop inafikia kumuita one of th greatest rappers of all time.Umwamba wake katika hiphop ulidhihirika pale alipo acha albamu yake ya kwanza''Ready to Die mwaka 1994, na kumfanya kuwa
East Coast hip hop icon na kumsababisha kuchukua tuzo ya Rap
Artist of the Year mwaka 1995 katika tuzo za Billboard Music. Mwaka wa 1995, Wallace akaongoza marafiki zake wa utotoni hadi kwenye mafanikio ya kichati kupitia kundi la wafuasi wake la Junior M.A.F.I.A..
Wakati anarekodi albamu yake ya pili, Wallace alijishughulisha sana na
masuala ya kigomvi ya East Coast-West Coast, ilitawala katika uwanja wa
hip hop kwa kipindi hicho.
Mnamo tar. 9 Machi 1997, Wallace aliuawa na watu wasiojulikana wakati anaendesha gari huko mjini Los Angeles. Seti yake ya diski mbili ya Life After Death,
ilitolewa baada ya siku kumi na tatu baadaye, imegonga nafasi ya kwanza
#1 kwenye chati za albamu nchini Marekani na kutunukiwa Almasi mnamo mwaka wa 2000.[2]
Wallace alitambulika sana kwa staili yake ya "kujiachia, anachana
taratibu", uwezo wa kimashairi yanayoeleza tawasifu kimtindo. Tangu kifo
chake, albamu mbili zaidi zilitolewa. MTV wamweka nafasi ya #3 kwenye orodha yao ya Ma-MC Wakali wa Muda Wote.[
0 comments:
Post a Comment