Rappa Drake amejikuta matatizoni kisheria baada ya kushitakiwa na aliyekuwa mwanamitindo wake.
mwanamitindo huyo anayekwenda kwa jina la Raphael,amemtaka Drake amlipe kiasi cha dola 76,490 ambazo alizitumia kwa kumfanyia shopping rappa huyo,mwanamitindo Raphael amedai alitumia gharama hizo kwa kumfanyia shopping za nguo za thamani za madizaina kama Nike and Diesel rappa Drake na kuongeza hakulipwa hata gharama za usafiri na
photography/graphic design.Pamoja na mashtaka hayo Drake atazindua albam yake mpya ya Nothing Was The Same September 24.
Tuesday, August 27, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment