Mtandao wa TMZ, uliripoti siku ya ijumaa kwamba L.A. City Fire Department walipokea simu mida ya saa 7 mchana ya emergency 911 kuhusu taarifa zi kijana wa umri wa miaka 24-kupoteza fahamu.inasemekana walifika eneo la tukio lakini mgonjwa ambaye ni Chris Brown alikataa kupatiwa matibabu.Upande wa Brown wamedhihirisha kwamba sababu kubwa za Chriss Brown kupoteza ni fatigue and extreme emotional stress,ambapo vyote vinasemekana vimetsababishwa na matatizo yake ya kisheria na kile walichokiita wadau kumhukumu (non-stop negativity).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment