Jennifer Hudson ameigiza kama aliyekuwa mke wa Nelson Mandela katika sinema iliyonza kutengenezwa kipindi cha majira ya joto mwaka 2010.Sinema hii inaongelea maisha ya mwanaharakati mzailiwa wa South Africa ambaye baadae akaolewa na Mandela,vilevile sinema hii inaonyesha kampeni za ‘Winnie Mandela za kutaka kumtoa mumewe gerezani ambapo sehemu ya Mandela imechezwa na Terrence Howard.Winnie Mandela itaonyeshwa katiak majumba ya sinema huko U.S. September 6.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment