Vogue Magazine ni jarida la America linaloshughulika na mambao ya fashion na lifestyle na hutoka kila mwezi mara moja.Mtandao wa RadarOnline unaripoti,pamoja na Kanye West kukataa ofa ya mamilion kwaajili ya kuuza picha za mtoto,sasa anataka mtoto wake huyo aonekana kwa mara ya kwanza katika cover la Vogue
magazine.Lakini upande wa pili katika hali isiyo kawaida tunataarifiwa fashion publication's editor-in-chief, Anna Wintour, hajavutiwa bado na hiyo idea.
Wednesday, August 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment