Mtoto wa Usher Raymond,Usher Raymond V wa miaka 5 alazwa Hospitali baada ya kushikwa na msuli ndani ya swimming Pool,chanzo kimoja cha habari kinasema,mtoto huyo alikuwa akicheza na aunt yake na ndipo alipoona toy ndani ya swimming pool chini kabisa,mtoto huyo alichumpa kwaajili ya kulifuata ndipo aliposhikwa na misuli ya mkono hivyo kushindwa kufanya lolote,aunt yake baada ya kuona hivyo naye alichumpa majini ajili ya kumuokoa lakini alishindwa naye akapiga yowe la kuomba msaada ndipo walipokuja wafanyakazi wawili wa kiume ambao walifanikiwa kumuokoa mtoto huyo.Mpaka muda huu tunataarifiwa Usher Raymond V is badop amelazwa akipatiwa matibabu Atlanta hospital.
0 comments:
Post a Comment