Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, August 8, 2013

0806-usher-raymond-V-splash 

Chanzo cha habari kimoja kinasema mtoto huyo wa Usher,Usher Raymond v mwenye umri wa miaka 5 anaonyesha dalili nzuri za kupata nafuu kufuatia ajali ya swimming pool aliyoipata,tunaarifiwa mtoto huyo ameonyesha anadendelea vema na sasa anakaa mwenyewe kitandani,anakula,anacheka na kuongea na watu japo bado hajaruhusiwa kutoka hospitali.



0 comments:

Post a Comment