Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 8/01/2013 02:58:00 AM
No comments
T.I. asema angemuua George Zimmerman
Atlanta rapper T.I. ameelezea hisia zake kwa family ya Trayvon Martin na ameongelea nini angefanya kama yeye ndiye angekuwa baba wa marehemu Trayvon Martin.Akiongea kwenye interview na Power 98 FM, T.I. amesema kama angekuwa baba wa marehemu Trayvon Martin angechukua atuamkononi na angekuwa tayari kwa hukumuyeyote. T.I. amecomment hvyo kuhusu kesi ya Zimmerman muda mfupi baada ya rappa Rick Ross kurelease track inayokwenda kwa jina la “I Wonder Why,” track ambayo Maybach Music Group founder amejifananisha yeye na Martin na ametumia sehemu za sauti za kesi hiyo mahakamani katika outro.
0 comments:
Post a Comment