Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, September 28, 2013


Msanii wa muziki wa kizazi kipya almaarufu bongoflava Dochi  anayetamba na tracks mbili,Imani aliyomshirikisha Ally Kiba na Nampenda aliyomshirikisha Ommy Dimpozi,leo siku ya jumamosi ya tarehe 28 atakuwa na kibarua kigumu cha kuwadhihirishia watu wa kwao mpwapwa,kwamba anawawakilisha vema katika sanaa hiyo ya muziki wa kizazi kipya.Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii Dochi kutumbuiza wilayani mpwapwa.Dochi atafanya show katika ukumbi wa CCM,itaanza majira ya saa 1 za jioni.Waandaaji wa tamasha hilo wanasema show hyo ni maalumu kwaajili ya uzinduzi wa filamu ya ULIMULILA.

0 comments:

Post a Comment