Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, September 18, 2013

Ma rappa Drake & Game waungana kumsaidia mwanamke mmoja mazishi ya watu 6 waliofariki kwa ajali ya nyumba kuungua moto,mwanamke huyo amepoteza watoto wa tano pamoja na mchumba wake.Mtandao wa TMZ unaripoti kwamba mwanamke huyo,Anna Angel alikuwa kazini kwake Burger King huko Ohio na nyumbani aliwaacha watoto na mchumba wake ambao wote walipoteza maisha katika ajali hiyo ya nyumba kuungua moto.Rappa The Game aliweka picha ya wanafamilia hao katika instagram na kuandika: "I can deal with a lot of things but people losing their children is something that kills me every time.":Drake naye kupitia akaunt yake ya Instagram akaweka picha ile na kuandika:"Myself and [Game] are donating a total of $22,500 to [Anna] Angel, who lost her boyfriend & their 5 children in a house fire on behalf of [The Robin Hood Project]. What [Game] is doing will never be forgotten. Honored to be able to help people alongside my brother."The Robin Hood Project refers to Game's plan to personally donate $1million of his personal money.
Hii si mara ya kwanza rappa Game kujitolea kwaajili ya mazuishi,ameshaahidi kulipia mazishi ya binti wamiaka 6 Tiana Ricks wa huko Los Angeles aliyeuwawa kwa kupugwa riasi hukokiasi cha dola10,000 sawa na shilingi millioni 16 za kitanzania. 
Tazama picha ya fmilia hiyo,hapo chini:

0 comments:

Post a Comment