Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, September 27, 2013



Msanii wa Cash Money Records Paris Hilton aongelea  kuhusu maisha yake katika muziki na uwepo wake na mahusiano ndani ya YMCMB.Paris Hilton amekwenda mbali zaidi na kuwavuka Lil Wayne na Drake mpaka kufika kwa bosi wao (CEO).
Hilton na Cash Money CEO Birdman walikuwa katika mahojiano na "RapFix Live" siku ya jumatano na ndipo Paris Hilton alipoulizwa kama ikitokea uolewe na mmoja wa wana YMCMB ungemchagua nani?" Paris akacheka kwanza kwa mzaha na ndipo alipomnyooshea kidole #1 Stunna,The Cash Money CEO Birdman.Lakini baadaye akaweka wazi aina ya ndoa watakayofunga ni ya biashara ya muziki kwanza.
Hilton ameachia trac"Good Time" ambayo itakuwa katika albamu yake ya nne na amemshirikisha Lil Wayne.

0 comments:

Post a Comment