Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, November 11, 2013

 Eminem Wins "Global Icon" Award At 2013 MTV EMA Music Awards
Rappa Eminem ameendeleza ubabe katika muziki wa hip hop kwa kuwa mwana hiphop wa kwanza kuwa na track 4 zilizoshika namba za juu katika Top 20 of Billboard's Hot 100,recodi iliyokuwa ikishikiliwa na kundi la muziki maarufu zaidi ulimwenguni la The Beatles.
Singo ya The Monster" aliyomshirikisha Rihanna ndiyo iliyomsaidia Eminem kufikia mafanikio hayo kwani imefika mpaka namba 3 wakati sigles kama"Berzerk," "Survival"na  "Rap God"zimeshika namba 15, 16, na 17.Kabla ya rappa Eminem kufikia hatua hiy kundi la The Beatles lilishikilia recodi hiyo kwa miaka 50,yaani tangu mwaka 1964 ambapo waliingiza nyimbo  6 ndani ya wiki mbili katika top 20 kwa nyimbo kama "Can't Buy Me Love, "Twist and Shout," "She Loves You,"I Want to Hold Your Hand,"Please Please Me," na"I Saw Her Standing There.
Rappa 50 Cent mwaka 2005,T-Pain 2007-08, Lil Wayne2008 na Ludacris 2010 waliingiza nyimbo kadhaa ila nyingi zilikuwa za kushirikishwa.

0 comments:

Post a Comment