Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, November 30, 2013

 Yvette Prieto Michael Jordan Expecting Baby
Mapenzi huanza ndiyo ndoa hufuata kisah watoto,ndivyo inavyoonekana kwa Star wa mpira wa kikapu America,Micael Jordan na mwenzi wake  Yvette Prieto ambaye walifunga ndoa mwezi  April 2013.Taarifa zinadai wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza pamoja kwani tayari Michael Jordan ana watoto wa 3 Jeffrey miaka 24, Marcus James miaka 22 na binti daughter Jasmine wa miaka19 — katika ndoa yake ya mwanzo iliyodumu miaka 17-na Juanita Venoy.

0 comments:

Post a Comment