Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, November 20, 2013

 pharrell-gq-fe
Jambo mambo hayakuwa mazuri pale walimpotaja rappa Kendrik Lamar kuwa rapa bora wa mwaka, jarida la GQ limemtaja Pharrell Williams kuwa ndiyo Hitmaker Of The Year kwa mwaka 2013.
Zoezi la kumpitisha Pharrell Williams kuwa ndiyo Hitmaker Of The Year halikuwa gumu kwani poducer huyo ametengeneza hits za kutosha zinazosumbua kuanzi vituo vya radio mpaka ma club.
Mapema mwaka huu Pharrell alimtengenezea Robin Thicke wimbo gumzo wa "Blurred Lines," wimbo ambao umevunja records mbalimbali kwa mauzo kwani ndani ya wiki ilinunuliwa na kusikilizwa na watu wasiopungua millioni 228.9.Superproducerpia akatengeza wimbo wa Daft Punk "Get Lucky." ambayo nayo ilipata sifa ya mauzo ya  multi-platinum.
Williams pia amehusika na utengenezaji wa albamu ya Jay Z,Magna Carta Holy Grail ambayo pia mauzo yake yalifikia platinum siku ya kwanza ya kuachiwa.

0 comments:

Post a Comment