Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 4, 2013

 
Tunaweza kusema mambo ama maneno mengi sana since day one ametambulishwa kwa industry ya BONGO FLAVA na JULIETHA ngoma ambayo ilimfanya PRINCE DULLY SYKES kutambulika kwa wapenda muziki wa kizazi kipya kote nchini,kasi aliyoanza nayo bado ameendelea kuimantain mpaka leo ni miungoni mwa wasanii wakali ambao wanafanya vizuri kwenye game ya music wa kizazi kipya he is a true legend ''HAPPY BIRTH DAY PRINCE DULLY SYKES aka MZARAMO

0 comments:

Post a Comment