Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, December 17, 2013

 121613_chris_brown_inside_court_launch
Jaji amemuondolea Chris Brown  kinga ya uangalizi
kufuatia matendo yake mbalimbali ya uvunjifu wa sheria.
Jaji  Judge James Brandlin wa mahakama ya mjini Los Angeles alitoa maamuzi hayo siku ya jumatatu mchana,pamoja na kumuondolea kinga hiyo Brown haendi jela na badala yake ataendelea kuhudhuria darasa maalumu la kujifunza kuzikabili hasira( treatment for anger management).
Brown atarudi tena mahakamani mwezi February kwaajili ya checkup.

0 comments:

Post a Comment