Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 4, 2013

 Sony turns off some PSN features in Europe on PS4 launch day
Taarifa kutoka management ya Sony inasema PlayStation 4 imeiza game milioni 2.1 ndani ya wiki 2 nakutengeneza record nyingine ya mauzo ya PlayStation brand.Kufuatia kuzinduliwa kwa bidhaa hiyo Europe,Australasia ,New Zealand,New Guinea na Latin America.
Management ya Sony imesema nchi za ulaya peke yake wamenunua bidhaa 700,000 za  PlayStation 4 na America wamenunua bidhaa millioni 1..
Akiongea na waandishi wa habari katika hafla fupi ya kujipongeza,CEO wa Sony Computer Entertainment Inc,amesema: "We are extremely grateful for the passion of PlayStation fans and thank them for their continued support."
Bidhaa ya PlayStation 4 zinatolewa kwa awamu na kwa nyakati,nchi ya Japan watapata PS4 mwezi February.


0 comments:

Post a Comment