Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, December 4, 2013

 
Rappa Kanye West ameongelea swala la uandaaji wa muziki na kuelezea kwanini marehemu Notorious B.I.G. hakupenda baadhi ya beats za ngoma zake zilizohit.
In Ye's opinion, Biggie Smalls managed to trick the masses into thinking some of his records' sounds were greater than they really were.Kwa mtazamo wake Kanye anaamini  aliliona tatizo la ukubwa wa track na mapungufu ya beat aliyopewa.Kanye anaendelea kusema,anaamini B.I.G alikuwa akipendelea zaidi aina fulani ya ala kama za kiasili lakini tatizo lilitokea pale Puff alipoona kila kitu poa poa..
Kwa upabde wake Kanye anasema hajaipnda beat ya B.I.G  ya wimbo Juicy na  beat ya'Big Poppa na kusema japo ilitengezwa na Dr. Dre lakini ilikuwa na kelele katika kiitikio.Kanye anamaliza kwa kusema anaamini Notorious B.I.G hakuzipenda pia ila alikuwa mpole.

0 comments:

Post a Comment