Gucci Mane amesomewa mashtaka mahakamani kwa makosa ya kukutwa na silaha kinyume cha sheria,amabapo inasemekana anaweza kufungwa miaka 20.
CNN imeripoti kwamba mwezi September tar 12 rappa huyo aliwatolea silaha polisi wa Georgia na kuwatishia na kama haitosi siku mbili baadaye yaani september 14 alimtolea silaha mtu mwingine.
November 19 rappa Gucci alisomewa mashtaka ya miaka 10 jela na faini ya dola 250,000.
Rappa Gucci ni mtu wa matukio na kila mara huandamwa na sheri,ikumbukwe raapa huyo mwezi march aliingia matatani baada ya kumtwanga shabiki mmoja kwa chupa ya champagne.
Wednesday, December 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment