Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, December 3, 2013

Foreign celebrities who found fame, fortune and a home in Kenya (© image by Facebook)
Lovy/.Longomba:Ni wakimbizi toka Congo walioamia Kenya.Longomba wameshatumbiza Channel O Music Video Awards,South Africa.Longombas wametamba sana na hits track zao kama Dondosa, Piga Makofi, Shika More na Vuta Pumz. Kundi hili limejipatia tuzo nyingi ikiwemo Kora Awards for Best East African Group, Kisima Music Awards for Best Group from Kenya and Boomba Group and Best Song from Kenya and Social responsibility.Lomngomba hivi sasa wamehamia Los Angeles .

Foreign celebrities who found fame, fortune and a home in Kenya (© image by Facebook) 
RnB sensation Jean Pierre Nimbona,aka Kidum,walikimbilia Kenya na familia yake kama wakimbizikufuatia vurugu na vita nchini Burundi mwaka 1994. Kidumu na familia yake walifikia Kakuma Refugee camp.Kidumu aliondoka kambini hapo na kwenda kujichanganya kwaajili ya kujitafutiza na kuendeleza kipaji chake cha kuimba na kupiga ala za muziki. Mafanikio yake katika muziki ni pamoja na kupata tuzo za Kora Award na PAM Award.Kidumu amefanya shows nyingi nchini mwao,Tanzania na hata Europe, Canada na USA.Kidumu amefanya collabo na wasanii wa Kenya Nameless na sassy Uganda artist Juliani Kanyomozi.Hizi ni baadhi ya ngoma alifanya Kidum ;Mpenzi, Nitafanya na Namba Moja.

0 comments:

Post a Comment