Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, December 3, 2013

 Kanye West & Kim Kardashian Proposal To Air On E!
Kanye West alimchumbia Kim Kardashian kwa kumvisha pete ya thamani yenye madini ya almasicarat 15.
Kanye West alifanya kama tukio lakisiri pkatika uwanja wa AT&T Park huko San Francisco,California.Shughuli hiyo ilihudhuriwa na friends na family ambapo na Kanye alikodisha bendikutumbuiza.Habari kutoka katika chanzo ambye ni mtu wa karibu wa familia hiyo zinasema,kanda wa video wa Kanye West kumchumbia Kim Kardashian kuonyeshwa katika Tv ya E!.

0 comments:

Post a Comment